Tuesday, April 28, 2015

Video: Kamikaze - Nikikuona (Official video)


Cyril Kamekaze hivi karibuni ameachia brand new video ya ngoma yake ambayo tayari inafanya vizuri kwenye station zote za radio nchini Tanzania, tazama chupa hii kisha comment ukiniambia je ubora wa Video unafanana na ubora wa Audio?

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.