Ray C amefunguka kuwa kuna njama zimesukwa na wabaya wake ili kuhakikisha wanakatisha uhai wake, kupitia ukurasa wake wa Instagram Ray C ameandika maneno yafuatayo:
"NACHEKA LAKINI SINA FURAHA ILA NAJUA KABISA MPANGO WAO KWANGU NI KUNIUA KABISA NIPOTEE !SITAKUFA BALI NITAISHI !NASHUKURU KUWA NINAJUA HAKI YANGU!NDIO CHANZO CHOTE CHA CHUKI NA FITNA !ILA KUMBUKENI NA NYIE MNA WATOTO PIA MUOMBENI MUNGU AWAEPUSHIE HII BALAA NDANI YA FAMILIA ZETU ILA KUMBUKENI TU KUWA MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI TENA SIKU WALA SI NYINGI"