Jamaa mmoja pande za Ununio Dar es salaam leo asubuhi amethibitisha kuwa hata ukiwa mnene haina maana kuwa ndo unauwezo wa kula sana kuliko mtu mwembamba mpaka sasa hivi amekula chapati 30, supu 3, mikate 2, chai 3 na anataka krate 2 za Soda amalize ili ashinde kitita cha shilingi laki mbili.