Mgembea Urais kwa Tiketi ya CCM John Pombe Magufuli amesha piga kura na kupitia account ya CCM Tanzania insta ameandika "Tumshukuru Mungu tumeifikia siku hii salama. Nimetimiza wajibu wangu wa kupiga kura, sote tukapige kura, demokrasia iamue. Uchaguzi ni zoezi la siku moja lakini Tanzania ipo siku zote. Tuitunze amani yetu na tumtangulize Mungu mbele kwani yeye anajua kila kitu. - Dkt John Pombe Magufuli #HapaKaziTu #umojaniushindi
Comedian Joti Ameandika "Mie nimeshapiga kura ya kumchagua,Rais,Mbunge na Diwani je wewe
unasubili nini?...pia nimerudi home zaidi ya mita 200 kusubiri
matokeo...Mungu ibariki Tanzania.
Jokatemwegelo
Ameandila "Baada ya kupiga kura tukapiga ma-selfies kidogo na wasimamizi kituoni 😀😀. Wewe umeshachinja huko?
Joh_makini
machinjioni kwetu tunaenda sawa vp kwenu??? umechinja tayari???
nipeni ripoti watu wa Mungu uchaguzi_kwa_amani2015
Hit Maker wa Single ya Msamaha mwanadada Ayler ame post picha hiyo hapo juu na kuandika "Sidaiwi na taifa, mepiga kura
Jumapili njema, uchaguzi mwema na siku njema... Tanzania yetu
ndo muungano wetu, utofauti wetu usibadili kitu, labda kwa wapenzi tu example: me and my babe are in dfrt chama, i swear he ain gon see this meauuww() for soo long, how could he be dft from me? lovers fight thoo,
Izzo biznesss
ameandika Machinjioni na Nikki wa Pili Uchaguzi kwa Amani.
Said Fella meneja wa Kundi TMK Wanaume Family na Ya Moto Band ambaye ni mgombea udiwani Mbagala huko amendika ASANTE MUNGU nimeamka salama na nimepiga kura MUNGU mkubwa
Rapper Nay wa Mitego amendika "Kwenye foleni tayari kupiga Kura...!! Nipo na washkaji apa
Mtaarishaji wa Muziki wa Studio za Classic Sound Producer Monagangstar ameandika "Imehalalishwa kuchinja siku ya leo"
Mr Nice nae ameshapiga Kura.
Rapper Fid Q ameandika KirohoSafi
Director wa filamu za Bongo Movie Lamata Leah tayari amepiga Kura
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete amepiga Kura leo asubuhi
Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na Diamond Platnumz anayefahamika kwa jina maarufu la Babu Tale na yeye tayari ameshamchinja Mtu.
Mtangazaji wa Kipindi cha XXL na Bongo Flava (Cloudsfm) Adam Mchomvu
amepiga kura na kuandika "#25october tayari nsha mstaafisha mtu siasa... #washkajizangu mue na sku njema.
Mrishompoto ameandika "Nimeshaingiza kwenye shimo lake. #amaniyetufahariyetu
Msami amepiga kura na kuandika "AmaniTanzania vote"
Mchekeshaji maarufu Kitale a.k.a mkudesimbaoriginal
amedika "Tayari"
Queen Darleen 4real ameandika "Miii tayariiiiiiiiii #wewe jeeee?
Director wa Filamu kutoka Visual Lab amepost picha hiyo na kuandika "Nishamchinja mtu!!!
Shikorobo Master shetta ameandika "Mimi Tayari.....!! Ww vipi???
Aunty Ezekiel ameandika "Mm Tayari Nishamchinja Mtu naondoka zang Mita elfu kumi staki Shari na Mtu labda Muanze nyie Ccm akuuu uku 🙌 #mungubarikiuchaguzimkuu #mungubarikitanzania
Mzee Kigogo Mzee wa Nchi Rais Jakaya Mrisho Kikwete hapa anaonekana kwenye foleni kwa ajili ya kupiga kura.
Snura ndani ya Chumba cha kupigia kura |
Snura baada ya kupiga Kura |
Snura ameandika "Kwisha Habari.....
Linah na yeye amepiga kura leo |
ameandika"from machinjioni #happyme
Actress wa Bongo Movie Eshas buheti
ameandika "Doooooooone namsubiri raisi Wangu mpyaaaaa"
Actress wa Bongo Movie Rosse Ndauka
ameandika "Basi sawaaaaaa,tusubiri matokeo"
Dada wa Diamond
esmaplatnumz
amepost picha akionekana na Mama yao na kuandika "Naipenda Nchi yangu nakupenda Tanzania"
Super Star Wema Sepetu
ameandika "Haiya sasa tusubirie siku ya kuapishwa.... Mungu ibariki Tanzania... Mungu wabariki na viongozi wetu"
Vanessa Mdee ameandika "On
this day me and my people exercized our democratic right to vote. And
all God's people said - Amen! Mungu Ibariki Tanzania. Na amani itawale. #Tanzania #GeneralElections #2015
Shilole na Nuh Mziwanda wamepiga Kura, wamepost picha hiyo na kuandika "Tushamchinja mtu 😂😂😂😂😂 amani tanzania
Actress Monalisa amepiga kura na kuandika "Done.
Nani anataka nyama???maana nishachinj.
Nani anataka nyama???maana nishachinj.
Msanii wa muziki wa Injili Emmanuel Mbasha amekitendea haki kikatio chake kwa kupiga kura na amepost picha yake kwenye mitandao ya kijamii na kuandika "Nimeisha mchagua kiongozi ninaye mtaka na kurudi nyumbani na
kutulia kama tulivyoagizwa na serikali yetu,Mungu dumisha Amani ya
Tanzania Amen"
Chanzo ni mitandao ya kijamii.