Tetesi zinadai kuwa,mrembo huyo alifikia uamuzi wa kuchora tattoo hiyo ya "King Kiba" baada kupagawishwa na shughuli ya Kiba kitandani kiasi cha kuamua kuchora tattoo hiyo kama sehemu ya kukubali mtiti wa sita kwa sita kutoka kwa Mwanamuziki huyo.

Mrembo huyo amedai kuwa alijisikia mtu mwenye bahati kwa kuwa msichana pekee aliepata nafasi ya kumliwaza msanii huyo wakati alipokua mjini Mombasa na kuongeza kuwa tatoo hiyo itabaku kama kumbukumbu kwenye maisha yake kuwa aliwahi ku-kwichi-kwichi na King Kiba.



