Thursday, September 15, 2016

Kuhusu uwezo wa kufufua wafu,Gwajima apewa za uso na wananchi.



 Kupitia mitandao ya kijamii hasa Whatsaap kumekua na video inayosambaa ikimuonesha kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima Askofu Josephat Gwajima akimuombea binti anadaiwa kuwa ni mfu hii ikimaanisha kuwa Askofu Gwjima ambae wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka uliopita alikua akiunga mkono harakati za upinzani nchini kuchukua madaraka,ana uwezo wa kufufua wafu.

                                             .
 Haya ni maoni ya wananchi kwenda kwa Askofu Gwajima;




Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.