Muongozaji wa video za muziki wa bongoflava anaekuja kwa kasi kwenye game ya muziki Rapa Dearmant kutoka Label ya Young Gifted Africa (YGA) amedropisha ngoma yake ya kwanza aliyoipa jina "Nimekuchoka" yenye jumla ya watu sita ndani yake ambao kila mmoja kwa nafasi yake ameweza kumchana huyo aliechokwa.
Unataka kujua mafekecho yaliyotambaa humo fanya kuudownload mzigo upo hapa chini kwenye Link ya Mkito.