Mbabe huyo wa ngoma ya Kidebe alijikuta akiwa katika wakati mgumu pale alipokua akifanya video ya ngoma ya kidebe.
Janja amesema maseke yalitokea kwenye nyumba aliyoigizia, kwani mtu ambae alimpa kibali cha kutumia nyumba hiyo hakuwa mmiliki halali. Sasa baada ya mwenye nyumba kugundua unadhani nini kilkifuata
Huyu Hapa Janja Mwenyewe..
ULIIONA HII YA WOLPER AKIZICHEZEA NONIHINO ZA HARMONIZE?