Baada ya bifu yake na rapper Meek Mill kutikisa headline za burudani,rapper mtata The Game ameachia wimbo mpya "What Your Life Like" ambao mdundo wake umenogeshwa kwa vionjo vya 'soul' ambapo The game anasikika aki-rap kuhusu maisha yake binafsi ndani na nnje ya muziki,bifu yake na 50 Cent na aliyoyapitia kabla hajatoka kimuziki.
“What your life like?” he asks. “Mine’s ’bout getting money and
bitches / ’64s and switches / Popping guns with my ni**as / What your
life like? / Mine’s ’bout listening to Illmatic / In my grandmother’s attic tryin’ to spit above average / What your life like? / Mine’s ’bout shedding tears when Pac died.”.Anasikika The Game aki-rap.
Wimbo huu utapatikana kwenye album yake mpya "1992" ambapo mpaka sasa ameshaachia nyimbo nyingine mbili ikiwemo "All Eyes" aliyomshirikisha Jason Derulo na video ya “Baby You”
aliyomshirikisha RnB Star Jeremih.
Bofya hapa kuisikiliza.http://www.audiomack.com/song/akonswils/what-your-life-like