Baada ya Mchekeshaji Stan Bakora kufanya cover ya wimbo "Nisamehe" wa Baraka Da Prince na Ali Kiba,Hatimae Baraka Da Prince amevunja ukimya kwa kumpa onyo Mchekeshaji huyo juu ya kitendo chake cha kufanya cover ya wimbo huo.
Hata hivyo Mchekeshaji huyo nae amejibu mapigo huku akidai kuwa kabla ya kufikia uamuzi wa kuachia video hiyo alifanya makubaliano na Baraka Da Prince.