Saturday, October 1, 2016
Esma Amkana Diamond Mbele Ya Wanahabari
Wote tunawajua Queen Darlin na Esma Khan kama madada wa mbongoflava Diamond Platnumz,
Unafahamu mahusiano yao vizuri?,
Diamond Platnumz anashare Baba na Queen Darlin hukun upande wa mama akiwa anaungana na Esma Khan.
Hivi juzikati Esma Khan alipata alipata nafasi ya kuongea na waandishi wa habari, Sikia alichokisema kuhusu undugu wao.
Sasa Dada yetu huo uarabu na uswahili umetoka wapi tena?, Haya Hupendi wakujue kama wewe ni Dada yake Mondi sasa mbona kwenye instagram inaonekana Baba yenu mmoja.
Comments System
facebook