Sunday, October 9, 2016

Waziri Nape Nnauye Akutana Na Vipepeo Wa Miss Tanzania

1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na baadhi ya washiriki wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.

2

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa wa Shindano ya Miss Tanzania 2016 na wadau wa Mashindano ya urembo nchini walipokutana kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma.

3

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akishiriki kupanda miti wakati alipokutana na kuzungumza kuhusu masuala ya urembo nchini na baadae kushiriki katika zoezi la upandaji miti Mjini Dodoma

4

Baadhi ya washiriki wa Shindano la Miss Tanzania 2016 wakipanda miti katika zoezi la upandaji miti lililofanyika Mjini Dodoma.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.