Sunday, October 9, 2016

Nick Minaj kuja na album mpya,ataja nyimbo zilizopo kwenye album hiyo na muda wa kutoka.

Female rapper Nick Minaj kuupitia ukurasa wake wa twiter amefurahisha mashabiki wake baada ya kutangaza kuachia album mpya ikiwa ni pamoja na list ya majina ya track zilizopo kwenye album hiyo na muda wa kutoka kwa album hiyo.


 “Ok u know what I wasn’t gonna say anything but damn ya got it out of me,” she tweeted. “The album drops at midnight. it’s called #PickMyFruitOut.” .Ilisomeka post hiyo.



Baadhi ya track zinazopatikana kwenye album hiyo ni pamoja na “Mango,” ,“Grapes”,“Kiwi.” “Bananas (Harambe Interlude)” ,“Fruit Loops.”.




Hata hivyo katika muendelezo wa post zake rapper huyo ambae ni X-Girl wa rapper Meek Mill ametaja nyimbo anayoizimia kwenye album hiyo.“The one I’m most excited about, however, is track #10,” she said. “It’s called ‘Ni**a toss my fruit salad’ and it features my favorite rapper of all time”.Aliandika.

Album hii itakua ya nne kutoka kwa Nick Minaj baada ya kutoka kwa  album yake iliyopata mafanikio makubwa mwaka 2014 "The Pinkprint",2012 "Pink Friday" na album nyingine yenye jina hilo kwa mara nyingine,yaani "Pink Friday" iliyotoka mwaka 2010.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.