Denti mmoja aliejitambulisha kwa jina la Nasra amepenyeza ubuyu usio wa mchezomchezo kumuhusu ndugu yetu AbduKiba kamtia kibendi kisha kumtosa..
Denti huyo aliekua masomoni nchini Oman amesema alijuana na Abdu Kiba kupitia mtandao wa instagram, Baada ya ndugu yetu kumkoleza denti kwa maneno matamu denti aliamua kupiga chini skonga na kuja Bongo kujiachia na mbongofleva huyo.
Unaambiwa alipofika tu Bongo Abdu Kiba hakuchelewa akaruka nae mpaka maghetoni Tabata basi mshikaji akajipigia goma siku mbili bila hata kinga (Kondomu).
Sasa baada ya siku mbili mtoto si akaanza kusikia kichefuchefu mara kizunguzungu.. kwenda kupima amenasa ,... patamu hapo.... angalia hii video hapa,,