Klabu ya soka ya Real Madrid imepanga kufanya ukaratabati kwenye uwanja wake maarufu Santiago Bernabeu uliopo jijini Madrid,ukarabati unaotarajiwa kubadili muonekano wa juu wa uwanja huo,Rais wa Klabu hiyo tajari Ulimwenguni Florentino Perez amesema ukarabati huwa utagharibu kiasi cha 'euro' milioni 400.
Uwanja wa Santiago Bernabeu utakavyokua baada ya ukarabati.
Hata hivyo kwa upande wa watazamaji hawatazidi 81,000 ila kutakuwepo na siti mpya 3,000 zitakazofidiwa siti zitakazotolewa.
"We will see a dramatic transformation of the Santiago Bernabeu," ......"This stadium is one of the emblematic icons of our city and we want to make it one of the best stadiums in the world and the undisputed symbol of the strength of our capital." . Perez alisema.
Ukarabati huo utakaoanza mwaka ujao,unatarajiwa kukamilika mwaka 2020.
Rais wa Klabu soka ya Real Madrid, Florentino Perez (kushoto),akiwa na Meya wa Jiji la Madrid Manuaela Carmena.