Friday, October 7, 2016

Ripoti ya Daktari yaonesha kuwa kijana Said Mrisho alietobolewa macho hataweza kuona tena.


Kwa mujibu wa ripoti ya Daktari,kutoka Hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili,Kijana Said Mrisho aliyetobolewa macho na mtu anayejiita "Scorpion" hataweza kuona tena kutokana madhara makubwa aliyopata kwenye macho yake.


 Kupitia ukurasa wake wa Instagram Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ambae alijitolea kuhakikisha Said anapata matibabu ili kumsaidia aweze kuona tena amendika; "Watanzania wengi tulitamani Said uone tena ila tumeshindwa, tunamwachia Mungu.".
A photo posted by Paul Makonda (@paulmakonda) on


Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.