Unaweza ukashangaa ila kwenye mitandao ya kijamii nchini Uganda zimesambaa picha zikimuonesha Mwanamuziki Lydia Jazmine akibusiana kimahaba na mwanamke mwingine ambae bado hajajulikana na kupeleka watu kuhisi kuwa huenda anashiriki mapenzi ya jinsia moja.
Lydia Jazmine (kushoto)
Waerembo hao wenye uchu,wanadaiwa kufanya mchezo huo wakiwa kwenye moja ya club za usiku jijini Kampala ambapo mashuhuda wanadai walikua wamepiga maji (pombe) ya kutosha.