Kwenye mahojiano aliyofanya na kituo cha Televesheni cha ABC,Rapper Lil Wayne alisema : I don’t feel connected to a damn thing that ain’t got nothin’ to do with me. I’m a young black rich motherf—er. If that don’t let you know that America understand black f—in’ lives matter these days, I don’t know what it is.”
Kauli hiyo iliamsha hasira kwa Wamerakani weusi kutokana kauli yake ya kuipinga Kampeni ya 'Black Live's Matter',kampeni iliyoasisiwa kupinga vitendo vya kibaguzi vinavyofanywa na Polisi dhidi ya watu wenye asili ya Afrika nchini Marekani.
Kwa muda sasa Wayne amekua kionekana akivalia kofia zenye kauli mbiu ya 'Make America Great Again',Kauli mbiu inayotumiwa na Mgombea Uras wa Marekani kwa Chama cha Republican,Donald Trump.
Badae kwenye mahojiano na TMZ,rapper huyo alijitetea kwa kudai kuwa alitamka maneno hayo,baada ya mwandishi kumuuliza maswali yaliyomhusu binti yake : When the reporter began asking me questions about my daughter being labeled a bitch and a hoe, I got agitated. From there, there was no thought put into her questions and my responses.”.