Thursday, December 15, 2016

FREEMAXENCEMELO:"Sheria haishii kusema apelekwe Mahakamani ndani ya saa 24"-DPP afafanua sakata la Jamii Forum.


Wakati sakata la kukamatwa na kushikiliwa kwa Mkurugenzi wa kampuni ya inayomiliki mtandao wa Jamii Forum Maxence Melo kwa siku ya tatu sasa likiendelea kutikisa vyombo vya habari ndani na nnje ya nchi,Mkurugenzi wa makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga ametoa kauli ya serikali juu ya sakata hilo na kudai kuwa wanaweza  kumshikilia kwa zaidi ya masaa 24 na kumuachia pale tu watakapoona wameridhika kuwa hana kosa lolote.



Chanzo:Azam Two.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.