Mwanamuziki maarufu na mkali wa miondoko ya TAKEU,Lucas Mkenda maarufu kama Mr.Nice amekanusha taarifa zilizo sambazwa na mitandaoni kuwa amefariki.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram,Nice ambae kwa muda sasa makazi yake yamekua nchini Kenya ameandika :
Hata hivyo taarifa hiyo ambayo haikubainisha chanzo kamili cha habari hiyo,kinakumbusha taarifa ya aina hiyo iliyotolewa mwaka 2015 baada ya Mwanamuziki huyo kulazwa hospitali akiwa mahututi.
Mr.Nice alipolazwa Hospitali mwezi Septemba mwaka 2015.