Wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) kwa mara nyingine wametwangana tena makonde mahakamani hii ikiwa ni mara ya pili kwa wafuasi wa chama hicho kufanya hivyo kila kesi inayozihusisha pande mbili zinazopingana kwenye chama hicho inaposikilizwa.Soma kwa undani zaidi hapa- Wafuasi wa CUF watwangana tena mahakamani