Mabalozi wa Shirika la Wambea duniani (SHILAWADU) hawakosekani kwenye matukio makubwa ya kitaifa,hivyo basi wakati wakazi wa Jiji la Dar es salaam,Viongozi wa vyama na serikali walipojumuika kwenye ibada ya kuuaga mwili wa aliekua Meya wa Jiji hilo na Kada wa Chama Cha Mapinduzi,(CCM),Dkt.Didas Masaburi,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt John Pombe Magufuli ambae aliwangoza waombolezaji kuuga mwili huo,hakuondoka msibani hapo akiacha jipu,bali aliamua kuwaacha hoi wafiwa na waombolezaji kwa kulitumbua hadharani.
JIONEE MWENYEWE.
Showing posts with label Didas Masaburi. Show all posts
Showing posts with label Didas Masaburi. Show all posts
Tuesday, October 18, 2016
Wednesday, October 12, 2016
Aliekua Meya wa Jiji la Dar es salaam afariki dunia,Rais Magufuli atuma salamu za rambirambi.
Dkt.Masaburi alikua amelazwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili lakini haikuelezwa alikua akisumbuliwa na maradhi gani.
Dkt.Masaburi alikua Meya wa Jiji la Dar es salaam kuanzia mwaka 2010 hadi 2015 ambapo aliacha wadhifa huo na kujitosa kwenye mbio za kuwania ubunge wa jimbo la Ubungo katika uchanguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa tiketi ya chama cha mapinduzi(CCM),lakini alindwa baada ya mpinzani wake kwa tiketi ya CHADEMA,Said Kubenea kuibuka mshindi.
Mbali na kuwa Meya wa Jiji la Dar es salaam,Dkt.Masaburi amewahi kuwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Rais Magufuli ametuma salamu za rambirambi na kumuelezea Dkt.Masaburi kama masomi mzuri na kiongozi alielitumikia taifa na kusimamia anachokiamini.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Comments System
facebook
