Showing posts with label Hillary Clinton. Show all posts

Friday, November 4, 2016

PICHA:Barua pepe za siri za Bi.Hillary Clinton zavuja

Baada ya Mgombea wa Chama cha Republican,Donald Trump kuandamwa na Kashfa ya kuwadhalilisha Wanawake kingono sasa ubao umemgeukia Mgombea wa Chama cha Domacratrict,Bi.Hillary Clinton ambae barua pepe zinazodaiwa aliziandika ili kuchangisha michango ya ufadhili wa Kundi la kigaidi la ISIS zimevuja.

Kwa mujibu wa tovuti ya.http://www.redflagnews.com/headlines-Barua pepe hizo,zimevujishwa na mtandao wa 'WeakLeak' uliofungiwa nchini Marekani ambapo Mwanzilishi wa mtandao huo Julian Assange yupo uhamishoni kama mkimbizi nchini Urusi.

 “The governments of Qatar and Saudi Arabia, which are providing clandestine financial and logistic support to ISIL…”, Sehemu ujumbe unaodaiwa kuandikwa na Bi.Clinton.

Wachambuzi wa masuala ya kisiasa wanaamini kuwa huenda kilichoandikwa kwenye ujumbe huo kina ukweli ndani yake kwani nchi kama Saudia Arabia pekee imefadhili kampeni za Bi.Clinton kwa %20,huku Qatar ikiwa miongoni mwa nchi zinazomuunga mkono Bi.Clinton.

Hata hivyo Wafuasi wa Bi.Clinton wanaamini taarifa hiyo ya Mtandao huo,uliofungiwa nchini humo ni mpango wa kumchafulia jina Bi.Clinton.

Taarifa hii imekuja siku moja baada ya Rais Barack Obama anaemaliza muda wake Mwaka huu kutoa angalizo kwa Maafisa usalama wa Shirika la Kijasusi la FBI,kuendesha uchunguzi wao bila kutumia tuhuma hizo dhidi ya Bi.Clinton kama kashfa.

Uchaguzi Mkuu wa Rais Marekani utarajiwa kufanyika Novemba 8 mwaka huu,huku kipute kikiwa baina ya Bi.Clinton anaekiwakilisha Chama Cha Democtratic  anachotoka Rais Obama,na Mfanyabiashara Donald Trump anaewania nafasi hiyo kwa tiketi  ya Chama Cha Republican.

Wednesday, October 12, 2016

VIDEO:Kwa mara ya kwanza Rais Obama akanusha madai ya kuwa muumini wa dini ya mashetani,(illuminati).

Unaweza ukawa umewahi kusikia tetesi kuwa Rais wa Marekani,Barack Obama ni miongoni mwa watu maarufu wanaoabudu dini ya mashetani (iIluminati ),ila kwa mara ya kwanza Rais Obama akiwa kwenye mkutano wa kampeni uliandaliwa na chama chake cha Democratic huko North Carolina amekanusha madai hayo.

  “There’s a guy on the radio who apparently ... said me and Hillary are demons,” .....“Said we smell like sulfur. Ain’t that something!”.Rais Obama alisisitiza.

Hatua ya Rais Obama kukanusha uvumi huo,imekuja mara baada ya mwandishi wa habari za mitandaoni Alex Jones,anaemuunga mkono mgombea wa chama cha Republican,Donald Trump kudai kuwa rais Obama na mgombea wa chama cha Democtatic,Bi.Hillary Clinton ni waumini wa dini ya mashetani kutokana na ishara wanazofanya pindi wanaponusa...eheee usishangaee kijana huyo alidai kuwa namna viongozi hao wanavyoweka mikono yao puani na kunusa ni ishara mojawapo kuwa ni waumini wa dini ya mashetani.

“I’m told her and Obama just stink, stink, stink, stink,” ....“You can’t wash that evil off, man. People say ... Obama and Hillary both smell like sulfur.”.Alidai Jones.

Huku akishangaliwa na mamia ya vijana waliojumuika kwenye mkutano huo,Rais Obama aliwataka wananchi wa North Carolina kumuunga mkono mgombea wa chama cheke cha Dremocratic,Bi Hillary Clinton na kudai kuwa Bwana Trump hana sifa za kuwa amiri jeshi mkuu wa taiafa hilo.

Friday, October 7, 2016

Hillary Clinton Amtumia Ujumbe Mzito Kanye West Kufuatia Kusitisha Show Yake Baada ya Kim Kardashian Kuvamiwa.

Mgombea Urais nchini Marekani kwa tiketi ya chama Democratic,Hillary Clinton mbali na siasa anaeonekana ni mtu mwenye kufuatilia masuala ya burudani mara baada ya kuonesha hisia zake juu ya tukio la Mwanamitindo Kim Kardashian ambae ni Mke wa rapper Kanye West kuvamiwa na majambazi na kuporwa mali jijini Paris nchini Ufaransa.

 Mgombea huyo anaechuana vikali na Mfanyabiashara Donald Trump anaewania nafasi hiyo kwa tiketi ya chama cha Republican,amempongeza Kanye West kwa kitendo chake cha kusitisha show yake akiwa jukwaani kwenye tamasha la Meadows Festival nchini Marekani mara baada ya kupokea taarifa za mkewe kuvamiwa na majambazi.

"I felt bad for her".."Kanye was in the middle of the the consert and he run offstage,bless his heart,im just glad nobody was hurt".Bi Hillary Clinton alisema hayo alipofanya mahojiano na kituo cha ExtraTV

Mwanamitindo Kim Kardashian alivamiwa hotelini za majambazi watano wenye silaha mnamo October 2,mwaka huu,ambapo aliibiwa pete yenye thamani ya kiasi cha $4.5m pamoja na mkoba ulikua na cheni yenye tahamani ya kiasi cha $6.7m. ambapo tukio hilo limepelekea wanandoa hao kubadili mfumo wao wa maisha hasa kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii sambamba na kuajiri walinzi wapya wanne.
Kanye also had to reschedule some of the shows on his Saint Pablo Tour. Concerts scheduled for this week in Philadelphia (Oct. 4) and Detroit (Oct. 6) were moved to Dec. 13 and Dec. 22, respectively. The tour is scheduled to resume this Friday (Oct. 7) when Yeezy takes the stage in his hometown of Chicago.

Read More: Hillary Clinton Applauds Kanye West for Ending Concert Early After Kim Kardashian Robbery - XXL | http://www.xxlmag.com/news/2016/10/hillary-clinton-applauds-kanye-west-ending-concert-kim-kardashian-robbery/?trackback=tsmclip
Presidential candidate Hillary Clinton expressed her sympathy for Kanye West and Kim Kardashian in light of their recent trauma. Kim was robbed at gunpoint inside a Paris hotel room, which led to Kanye canceling the remainder of his set at the 2016 The Meadows Festival.
Clinton was asked about the robbery of Kim during an interview with Extra. The former Secretary of State said she was happy that no one got hurt.
“I felt really bad for her,” Clinton said of the situation. “[Kanye] was in the middle of the concert and he ran offstage, bless his heart. I’m just glad nobody was hurt.”
Kim was understandably shaken by the events as she was reportedly tied up and locked in a bathroom by five robbers on Sunday (Oct. 2). The armed thieves were able steal a ring worth about $4.5 million as well as a box containing up to $6.7 million worth of jewelry.
This scary incident forced Kanye and Kim to make some significant changes in their lives. The two have employed more security guards, and Kim has begun limiting her public appearances.

20 of Your Favorite Rappers Naming Their Favor

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.