Showing posts with label Picha ya siku. Show all posts
Showing posts with label Picha ya siku. Show all posts

Thursday, September 22, 2016

PICHA YA SIKU:Muonekano mpya wa The Weeknd na utani kwa Trump.



 Baada ya The Weeknd kufuta picha zake zote kwenye ukurasa wake wa Instagram,ameonesha meonekano wake mpya pamojana  kava la album yake mpya,"Starboy".

 the-wikiend
 
theweekend-696x614

Mitandao nayo haishi vituko kwenda kwa Mgomea Urais wa Marekani Donald Trump...!!


Wednesday, September 21, 2016

PICHA YA SIKU:Mzee Kingunge hadi kwenye bajaji...!!


Mzee,Kingunge Ngombale Mwiru ni jina kubwa kwenye siasa za Tanzania,ambapo anatajwa kama miongoni mwa waasisi wa chama tawala nchini (C.C.M),ila picha hii inayomuonesha akishuka kwenye bajaji imezua maswali mengi mitandaoni huku baadhi ya watu wakihoji kama Mzee wetu nae pesa imeadimika mfukoni mwake kama raia uraiani wanavyodai.

Ikumbukwe kuwa licha Mzee Kingunge kikutumia chama tawala (CCM) kwa zaidi miongo mitano,wakati wa uchaguzi mkuu mwezi oktoba mwaka jana,alijivua uanachama na kujiunga na vyama vya upinzani nchini chini ya mwamvuli wa UKAWA.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.