Wakati anazungumzia movie waliyoigiza na marehem sharo
milionea , Comedian Kitale ametiririka kwamba Sharo alikiona kifo chake na matendo
yake yalikua yanaashiria kifo na mara kwa mara alikua anatumia neno la kifo
hata sehem ambazo hazihusiani na neno hilo, kiasi cha kwamba baada ya kufariki
ndo Kitale ameanza kuvuta picha matendo ya mshkaji wake, movie hiyo inayoitwa “THE
IMPOSSIBLE” haijajulikana itatoka lini, lakini Kitale ameahidi kuwa itatoka
mwaka huu kuna michakato inamaliziwa maliziwa.
Kitale alitiririka hayo yote kupitia Take One ya cloudst.