Tuesday, August 12, 2014

VIDEO: USHAHIDI HUYU NDIYE BWANA WA DADA WA DIAMOND PLATNUMZ

 
Petit Man Wakuache baada ya kuachana na Kajala, akaja kutoka na mdogo wake Vanesa Mdee na sasa hivi ana mek headline za Udaku kwa kuwa katika mahusiano ya kimapenzi na Dada Wa Msanii maarufu wa Bongo Flava Diamond platnumz na bibie huyo anaitwa Esma Platnumz wawili hao inahisiwa kwa asilimia mia ndiye kuwadi kwa wapenzi hawa wapya kwasababu Wema Sepetu yuko karibu na Esma kwa sababu ni wifi yake, na Wema pia ni rafiki wa karibu sana na Petit Man so katika akili ya kawaida ni rahisi kwa wawili hao kukutana kutongozana na kuuuuu...........
cheki clip ya video hapo chini Esma akiwa na Petit Man ndani ya Gari...

Hapa wakiwa Chooni na inaonekana ni choo cha Hoteli flani baada ya kwichy kwichy wakapata fursa ya kupiga picha, patam hapo!!

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.