Sunday, September 18, 2016

Rapper Coolio akamatwa nchini Marekani.


Rapper Coolio ambae alijipatia umaarufu kupitia wimbo wake wa "Gangster Paradise" uliotoka  mwaka 1995 alikamatwa na maafisa wa Polisi mapema leo kwenye uwanja wa ndege wa Los Angel baada kukamatwa kwa mtu mwingine aliekua na begi ambalo uchunguzi ulibaini kuwa begi hilo lilikua mali ya rapper huyo.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa  maafisa wa polisi,inadaiwa kuwa wakati wa upekuzi ndani ya begi hilo ilikutwa  bunduki iliyosheheni risasi.














Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.