Sunday, October 23, 2016

AUDIO:Sikiliza 'freestyle' mpya ya J Cole aliyotoa baada ya album yake kutangazwa kuvunja rekodi ya 'Platinum' kwa mara ya pili.



Rapper J Cole ameachia 'freestayle' aliyoipa jina 'Ignorant sh*t' ikiwa ni siku moja kabla ya album yake ya '2014 Forest Hills Drive' kutangazwa kuvunja rekodi ya mauzo ya 'Platinum' kwa mara ya pili na 'Recording Industry Association of America',(RIAA) hii ikimanisha kuwa album hiyo imeuza nakala milioni mbili.



Alibum hiyo iliyotoka mwaka 2014 bila kumshirikisha mwanamuziki yeyote,ilifika namba 1 kwenye chati za muziki za 'Billboard 200',huku nyimbo tatu kutoka kwenye album hiyo zikiingia kwenye chati hizo ikiwemo 'Wet Dreams',Apparently' na 'No Role Modelz'.


Cole ambae amesainiwa kwenye label ya Rock Nation inayomiilikiwa na rapper na mfanyabiashara Jay Z,alifanya shoo za kuitangaza album hiyo kwenye nchi mbalimbali na kuachia 'live videos' za shoo hizo zinazofahamika kama  Forest Hills Drive Live

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.