Monday, October 10, 2016

PICHA:Lupita Nyong'o atokea kwa mara ya kwanza kwenya jarida la ELLEN,aeleza alivyopata wakati mgumu kutokana na rangi yake.


Mwanamitindo raia wa Kenya Lupita Nyong'o ametokea kwa mara ya kwanza kwenye ukurasa wa mbele wa jarida la ELLE nchini Marekani ambapo amezingumzia maisha yake hasa aliyoyapitia kutokana na rangi yake.

Mshindi huyo wa tuzo ya Oscer amedai alikulia kwenye maisha ambayo alikua na uwezo wa kujitazama kwenye kioo hivyo kupata nafasi ya kuonekana mbele ya ulimwengu ni nafasi ya kuonesha anavyojisikia kuhusu rangi yake.

“I grew up with a very limited mirror of myself. I watched a lot of TV, but the people on it were always light skinned. And now I have a platform that takes me into people’s houses and onto the pages of their magazines.”.Sehemu ya mahojiano ya Mwanamitindo huyo na jarida hilo.

Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.