Aliekua Mgombea wa nafasi ya Uras kwa tiketi ya CHADEMA Edward Lowassa na Waziri Mkuu mastaafu Fredrick Sumaye mapema leo asubuhi wamehudhuria mkutano wa kwanza wa bunge la 11 lililoanza mjini Dodoma.
Taarifa ya awali kutolewa kwenye vyombo vya habari ilidai kuwa Mawaziri hao wakuu wastaafu walihamia upinzani walikwenda kuwa somo wabunge wa UKAWA namna ya kukabiliana na Wabunge wa Chama tawala CCM.