Tuzo za Afrima zinazoandaliwa kwa ufadhili wa taasisi ya African Union Commission (AUC) zimetangazwa huku orodha kamili ya wasanii wanaowania tuzo ikimjumuisha Msanii wa Bongo Fleva,
Diamond anaewania vipengele
vitano.
Viepengele hivyo ni pamoja na Songwriter of The Year in Africa, Song
of The Year in Africa, Artiste of The Year, Best Artist in Africa na
Best Male Artist in Eastern Africa.
Watanzania wengine waliotajwa kwenye tuzo hizo ni pamoja na Alikiba
anayewania cha Best Male Artist in Eastern Africa na Yamoto Band
likitajwa kuwania kipengele cha Revelation of The Year.
Tazama orodha kamili,