Thursday, September 1, 2016

Vee Money Afunguka Jinsi Alivyokutana Na Jux

Septemba 1 ni siku ambayo mkali wa ngoma ya "Wivu" AfricanBoy Jux anasherehekea siku yake ya kuzaliwa.
 Vanessa Mdee ambae hayupo Bong kwa sasa (Yupo Nchini Nigeria) amemuandikia Jux ujumbe ambao umeonekana kuwavutia wengi.
"When we first met I was an upcoming songstress with a fast tongue and one hit song on the radio. You ... well you were pretty much the same. Your boy asked me if I would spit some bars on your song. I said no. Then walked into the studio and met you and instantly had a change of heart. Fast forward to 2yrs later, tumekuwa. You've got the biggest song in the country #Wivu and a multi million dollar brand #AfricanBoy and as for me well ... kitu kimoja hakijabadilika though. Kwako sisikii. Lol!

Lakini hayo yoteee ni mifano tu ya jinsi gani ukiwa na mahusiano na mtu anayekujenga kifikra na vinginevyo maisha yako yanaweza kukaa sawa. Siwezi kueleza ni jinsi gani uwepo wako katika maisha yangu yamenibadilisha na kunikuza na kuniboresha. All things are God's design. Namuomba Mungu akuongoze and akupe maisha marefu sana sana sana. Maisha yenye mafanikio, afya bora na furaha tele. Una moyo wa kipekee sana tofauti na mtu yeyote ninayemfaham. Nasikitika kuwa mbali na wewe leo hii lakini unajua nikipata, umepata na tunazidi kwenda #Juu. Oh by the way kwa mashabiki wetu ngoma yetu ya kwanza ya pamoja inaitwa #Juu 😉 Basi nisaidieni kumtakia mpenzi wangu Heri ya siku ya kuzaliwa"  Aliandika Vanessa Kwenye Instagram Yake.

RAYVANNY AMEPANGA KUMSHANGAZA MAMA YAKE MZAZI:



Comments System

facebook

Disqus Shortname

Powered by Blogger.