Soma Comment ya Idris..!!
Showing posts with label Idris Sultan. Show all posts
Showing posts with label Idris Sultan. Show all posts
Friday, November 4, 2016
INSTAGRAM:Utacheka na 'Comment' ya Idris Sultan kwenye picha ya Auntyezekiel na Mosses Iyobo.
MAHABA NIUE- Hivyo ndivyo tunavyweza kusema kwani kupitia ukurasa wake wa Instagram,Muigizaji Aunti Ezekiel ambae ni 'Bebi Mama' wa Dansa Moses Iyobo kutoka WCB,ali-post picha akibarizi ufukweni na 'Baba Cookie',Moses Iyobo ila picha hiyo haikuwashangaza watu bali comment ya Mchekeshaji na Mshindi wa BIG BROTHER-2014,Idris Sultani kwenda kwa wawili hao.
Soma Comment ya Idris..!!
Soma Comment ya Idris..!!
Thursday, September 22, 2016
VIDEO:Diamond amrudisha Wema Sepetu kwa Idris Sultan kiaina.
Wakati kasheshe la kukutwa kwa hereni ya Mwanamke chumbani kwa Mama watoto wake Zari The Boss Lady likiendelea kufukuta,Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond amepost video ya aliekua X-Girl wake Madam Wema Sepetu akiimba wimbo wake mpya "Salome" na kuandika ujumbe ambao baadhi ya mashabiki wanahisi Diamond anajaribu kulirudisha penzi kati ya Mshindi wa BBA-2015 Idirs Sultan na Wema Sepetu ambao mapenzi yao yanadaiwa kuyeyuka tangu mwanzoni mwa mwezi July Mwaka huu.
"Hivi huku patakuwa ni kupatwa kwa nini....??? Tisha sana #SALOME wake @idrissultan full Video link in my BIO and @rayvanny BIO☝.....Shukran sana".Ameandika Diamond.
A video posted by Chibu Dangote (@diamondplatnumz) on
Hizi ni baadhi ya coment za mashabiki;
- missjojo_tzDaaaaaah kumbe kila kitu kinawezekana wapi zar😂😂😂😂
- nemyomyWaooooooo
- nemyomySalomee katishaaa
- rahmay487@rizy_white
- zuwenalichika92@hafsuley ukuyeee mama umuone salome wa idriss
- mama_8324Jaman
- sweetyneyl_12Mambo gan hayo y kutoana mbio km tetemeko limefka n uku @angel_eyes3333 yan kumbe ndo kwanza tumeanza n kupatwa
- sariajoshameen God amefanya yake aisee sipend bifu za nyota wangu wa tz aisee I'm happy @wemasepetu Mungu akuongezee urembo mama uzid kuwa na moyo wa kufungua namna HIYO love u bure #madamu @diamondplatnumz ma main main bigup kwakushow love tena na huo ndio usimba simba nijasir pia ni muelewa salut nyingi nying #simbaaa#dangote #chibu #babatifaa #lovekwanzaTZkwanzamaendeleombelebifuiachechoonindiomahalapake
- sherryachiengHehe if he doesnt post u in public....zari's word
Wednesday, August 17, 2016
Picha Tatu Alizopost Idris Sultan Dakika Chache Kabla Ya Kujiondoa Instagram
Kupitia Instagram ndugu yetu Idris Sultan amefanya kile kilichotafsriwa kama kisasi kwa shemela wetu Wema Sepetu ambae siku ya jumatatu alipost picha ya mastaa tofauti huku akiwataja kama #MCM's wake (Yaani Wanaume Wanaomvutia) akiwemo zilipendwa wake "Diamond Platnumz" aka Bba Tiffah. kama unavyoona hapa chini.
Sasa jana jumatano Idris nae akaitumia siku hiyo kumpost yule aliyemtaja kama #WCW wake huku akisindikiza na hashtag yake #TusichukulianePoa.
Idris alipost picha tatu za mrembo huyo huku akiahidi kutopost tena kwenye mtandao kwa siku ya jana.
Mapichapicha hayakuishia hapo
Idris aliendelea kumnadi #WCW wake huku akiendelea kuipa nguvu hashtag yake #TusichukulianePoa
Idris alimaliza kwa post hiyo na muda mfupi baadae ikasemekana Idris Sultan amefuta akaunti yake ya Instagram, Snitch wetu hakutaka kukubali ikabidi aende kwenye page ya Idris ili kujiaminisha alichosikia na haya ndiyo majibu aliyokutana nayo.
ANGALIA HAPA VIDEO MPYA YA SAMATA A- KODO
Subscribe to:
Posts (Atom)
Comments System
facebook










